Leviticus 16:34

34 a“Hili litakuwa agizo la kudumu kwa ajili yenu: Upatanisho utafanywa mara moja tu kwa mwaka kwa ajili ya dhambi zote za Waisraeli.”

Ndivyo ilivyofanyika, kama vile Bwana alivyomwamuru Mose.

Copyright information for SwhNEN